Wakimbizi wa Msumbiji nchini Malawi kusaidiwa kurudishwa kwao.

Your browser doesn’t support HTML5

Nchini Malawi Shirika la Umoja wa mataifa la kuhudumia wakimbizi linasaidia maelfu ya wakimbizi kutoka Msumbiji, kurejea kwao baada ya kukaa kwa miaka mitatu katika makambi ya Luwami.