Duniani Leo October 8th, 2018

Your browser doesn’t support HTML5

Watu 22 wameuwawa na wengine zaid ya 20 wamejeruhiwa katika eneo la Masisi mashariki mwa Jumhuri ya kidemokrasia ya Congo baada ya mashambulizi ya silaha za bunduki na mapanga, mashoka na visu jumapili usiku. Rais Dolnald Trump anaendelea kusherekea usindi wa jaji mkuu kuidhinishwa na bunge.