Msanii wa kueleza uhalisia wa Afrika kupitia picha.

Your browser doesn’t support HTML5

Msanii mpiga picha Alun Be kutoka Nigeria. Sanaa ya Alun inahusisha maelezo binafsi hasa kuhusu maisha ya kawaida ya watu katika maeneo a jamii, kupitia upigaji picha unalenga kuonyesha Afrika ya kweli.