Vijana wanusurika kuuwawa na Simba.

Your browser doesn’t support HTML5

Vijana wanne wa jamii ya ufugaji wa kimasai nchini Tanzania wanusurika kuuwa na Simba serikali ya Tanzania imewataka viongozi wa jamii hiyo kuachana na mila zinazohatarisha maisha ya watu , ikiwemo ya kutumia wajanyama kupima ujarisi wa vijana wa jamii hiyo.