Uteuzi wa jaji Brett Kavanaugh wawagawanya Wamarekani.

Your browser doesn’t support HTML5

Wamarekani wamegawika katika hali ambayo haijapata kushuhudiwa kisiasa, Bado haijawa bayana kama jaji huyo atapata kura za kuweza kutumikia nafasi ya kuwa jaji wa mahakama juu ya nchi ya Marekani.