Washington Bureau

Your browser doesn’t support HTML5

Wiki hii katika Washington Bureau: Mkataba mpya kati ya Marekani, Canada, na Mexico uliyojulikana kama NAFTA umebadilishwa. Wakati huo huo zimebaki wiki tano tu mpaka wamarekani kupiga kura kwenye uchaguzi wa kati.