Duniani Leo October 2nd, 2018

Your browser doesn’t support HTML5

Mke wa Rais wa Marekani, awasili Kenya kwa ziara ya bara ya Afrika, ziara hiyo ilianzia Ghana, Malawi, Melania Trump anatarajiwa kukamilisha ziara hiyo katika nchi ya Mirsi. Wakenya walalamikia Ugumu wa Maisha, hii inapeleka kwa wengi kutaka katiba ya nchi hiyo kubadilishwa.