Bunge la marekani wanatazamiwa kuanza kusoma ripoti ya shirika la upelelezi la FBI

Your browser doesn’t support HTML5

Maseneta wa bunge la marekani wanatazamiwa kuanza kusoma leo ripoti ya shirika la upelelezi la FBI kuhusu uchunguzi katika madai ya udhalilishaji wa kingono dhidi ya jaji brett kavanaugh aliyeteuliwa na rais Donald trump kuingia katika mahakama kuu.