Wabunge wa Afrika mashariki wawakilisha ripoti

Your browser doesn’t support HTML5

Baada ya kamati ya fedha ya Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Kuwasilisha taarifa yake kwa wabunge, inayoonyesha kuwa sekretarieti ya Jumuiya hiyo imepata hati chafu, baadhi ya wabunge wamesema hali hiyo imechangiwa na uhaba wa watumishi.