Shirika la save the elephant imetoa ripoti yake inayotuhumu China kuendeleza biashara haramu

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika la save the elephant jijini Nairobi, limetoa ripoti yake inayotuhumu China kuendeleza biashara haramu ya pembe za ndovu licha ya serikali ya China kupiga marufuku uingizwaji wa pembe za ndovu nchini humo, ili kudhibiti kushamiri kwa biashara hiyo.