Watu wenye uzito kupita kiasi wameungana kubuni klabu ya mazoezi

Your browser doesn’t support HTML5

Watu wenye uzito kupita kiasi wanaokabiliwa na magonjwa yanayotokana na mitindo ya maisha, wameungana nchini Kenya kubuni klabu ya mazoezi huku utafiti ukionesha kuwa Kenya ni miongoni mwa nchi za Africa zilizo na idadi kubwa ya watu wanene.