Vita vya ushuru na biashara vyaanza kuathiri ukuwaji wa uchumi duniani - IMF

Your browser doesn’t support HTML5

Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la fedha la kimataifa IMF, Christine Laguard amesema vita vya biashara na ushuru vimeanza kuathiri ukuwaji wa uchumi duniani.