Duniani Leo October 1 2018
Your browser doesn’t support HTML5
Indonesia wameanza maziko ya pamoja ya watu waliokufa katiak tetemeko kubwa la ardhi na Tsunami lilitokea Ijumaaa kwenye kisiwa cha Sulawesi. Rais Donald Trump apata ushindi muhim baada ya wajumbe wa Cadada na Marekani kufikia makubaliano ya kufanyia mageuzi mkataba wa biashara nafuu.