Video Siasa na Muziki nchini Congo 28 Septemba, 2018 Your browser doesn’t support HTML5 Wakati uchaguzi mkuu unatarajiwa kufanyika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Wanamuziki wa kizazi kipya waamua kuingia katika uwanja wa siasa.