Rais Magufuli azindua barabara mpya.

Your browser doesn’t support HTML5

Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania azindua barabara ya juu katika makutano ya barabara za Mandela na Nyerere. Barabara hiyo inatarajiwa kupunguza msongamano wa foleni katika mji hou.