Jaji Brett Kavanaugh kusikilizwa na bunge kuhusu shutuma za unyanyasaji kingono.
Your browser doesn’t support HTML5
Jafi Brett Kavanaugh aliyeteuliwa na Rais Trump kuchukua nafasi katika mahakama kuu ya Marekani anakabiliana na mwanamke anayemshutumu kwa unyanyasaj wa kingono leo mbele ya kamati ya baraza la senet la bung la Marekani.