Serikali ya Marekani inapenda kuona chaguzi barani Afrika ni za huru na haki.

Your browser doesn’t support HTML5

Serikali ya Marekani imerejea msimamo wake kwamba inapenda kuona chaguzi barani Afrika zikiwa huru, haki na za kuaminika, na kwamba sio kweli kuwa inapendelea kugombea wa upinzani kama inavyodaiwa.