Bill Cosby akutwa na hatia ya unyanyasaji wa kingono.

Your browser doesn’t support HTML5

Mchekeshaji na mwigizaji wa siku nying Bill Cosby akutwa na hatia ya kunyanyasha kingono zaidi ya wanawake hamsini. Mwigizaji huyo anatarajiwa kutumikia kifungo kisichopungua miaka mitatu au zaidi ya kumi.