Viongozi wa wa kuu wa dunia wakutana New York

Your browser doesn’t support HTML5

Viongozi wa kuu wa mataifa zaidi ya 190 duniani wako New York kuhudhuria mkutano wa 73 wa kila mwaka wa Baraza kuu la Umoja wa Mataifa uliofunguliwa rasmi wiki hii.