Ugonjwa wa Ebola bado ni tishio nchini Congo.

Your browser doesn’t support HTML5

Ugonjwa wa Ebola unaendelea kutishia hali ya maisha ya baadhi ya wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutokana na juhudi za kudhibiti ungojwa hou kuwa na vigezo mbalimbali.