UNHCR limetoa wito kwa mataifa ya Afrika

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limetoa wito kwa mataifa ya Afrika kuchukua hatua ya kutafuta ufumbuzi wa msukosuko wa wakimbizi barani humo.