Msimamo wa Bobi Wine kugombea urais

Your browser doesn’t support HTML5

Leo Jumatatu ni siku ya kwanza Bobi Wine kuzungumza na waandishi wa habari baada kurejea kutoka Marekani. Bobi Wine asema kwamba yeye na wafuasi wake hawana nia ya kugombea urais