Habari mbalimbali kutoka ulimwenguni wa michezo

Your browser doesn’t support HTML5

Mashabiki wa ndondi wanasubiri kwa hamu pambano la uzito wa juu baina ya Anthony Joshua, na Alexander Povetkin, Mashindano ya tennis ya Laver Cup yanaanza rasmi hapa Marekani, na Mashindano ya kwanza ya kuchezea mpira barani Afrika yameleta mvuto katika soka