Zaidi ya watu 100 wafa katika ajali ya kivuko katika ziwa Victoria

Your browser doesn’t support HTML5

Juhudi zinaendelea kutafuta miili zaidi baada ya ajali ya kivuko katika ziwa Victoria huku miili ya zaidi ya watu 100 ikiwa tayari imeopolewa. Maafisa wanasema huenda idadi hiyo ikaongezeka kwa sababu watu wengine zaidi ya 100 bado hawajapatikana.