Duniani Leo September 21st, 2018

Your browser doesn’t support HTML5

Ndani ya Duniani Leo: Juhudi zinaendelea kutafuta miili zaidi baada ya ajali ya kivuko katika ziwa Victoria huku miili ya zaidi ya watu 100 ikiwa tayari imeopolewa na Ni rasmi sasa Wakenya wataanza kutozwa ushuru wa asilimia 8 kwa bidhaa za mafuta baada ya rais Uhuru Kenyatta kutia saini sheria ya fedha ya mwaka 2018