Korea Kusini na Korea Kaskazini waahidi kuwa enelo la lisilo na nuklia.
Your browser doesn’t support HTML5
Rais wa Korea Kusini na kiongozi wa Korea Kaskazini wameahidi kuigeuza peninsula ya Korea na kuwa eneo lenye amani lisilo na silaha za nuklia.