Maji taka kusafishwa kwa matumizi ya nyumbani.

Your browser doesn’t support HTML5

Wahandisi kadhaa kwa ushirikiano na umoja wa mataifa wameanzisha mbinu mpya ya kusafisha maji taka itakayo tumika tena kwa matumizi ya nyumbani katika mitaa ya Kibera