Tume ya uchaguzi Congo DRC yahamasisha utumiaji wa komputer kwenye uchaguzi ujao.
Your browser doesn’t support HTML5
Tume ya uchaguzi nchini Congo DRC inaendelea kuhamasisha wananchi kuhusu utumiaji wa kompyuta katika uchaguzi mkuu ujao wa nchi hiyo, unaotarajia kufanyika Desemba mwaka huu.