CHADEMA kutoshiriki chaguzi ndogo zilizotangazwa na tume ya taifa ya uchaguzi ya Tanzania.

Your browser doesn’t support HTML5

Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA , kieamua kucukua uamuzi wa kutoshiriki katika chaguzi ndogo zilizotangazwa na tume ya taifa ya uchaguzi nchini humo ambazo zimepangwa kufanyika mwezi ujao.