Duniani Leo September 18th, 2018
Your browser doesn’t support HTML5
Rais wa Korea Kusini na kiongozi Korea Kaskazini wakutana kwa mazungumzo ya kuboresha uhusiano wa nchi hizo. China na Marekani waendelea na mabishano ya vikwazo vya biashara. Ungonjwa wa msongo wa mawazo unaendelea kukua duniani kote.