Uhusiano wa Uganda, EU wafukuta

Your browser doesn’t support HTML5

Mzozo unafukuta kati ya serikali ya Uganda na umoja wa ulaya, huku serikali ya Uganda ikionya EU, kukoma kuingilia maswala ya uongozi wake pamoja na kutoa masharti kwa viongozi wa Uganda kuhusu haki za kibinadamu. Sikiliza ripoti ifuatayo iliyotayarishwa na Mwandishi wa sauti ya Amerika, Kennes Bwire.