Eliud Kipchoge aweka rekodi mpya ya Marathon
Your browser doesn’t support HTML5
Eliud Kipchoge awake rekodi mpya ya dunia kwa saa 2 na dakika moja na sekunde 39 katika , mji wa Berlin . Kipchoge amevunja rekodi iliyowekwa mwaka 2014 na mkenya Dennis Kimetto.