Licha ya kimbunga cha Florence kupita bado kuna hatari vya vifo kutokea .

Your browser doesn’t support HTML5

Magavana wa North na South Carolina mashariki ya Marekani wanawaonya wakazi kwamba ingawa kimbunga Florence kimepungua nguvu lakini bado kuna hatari ya vifo kutokana na mafuriko ya mito katika majimbo hayo.