Mazishi ya Sharo Otieno kufanyika wakatia uchunguzi ukiendelea.

Your browser doesn’t support HTML5

Kufuatia mauwaji ya msichana wa chuo kikuu cha Rongo nchini Kenya , Sharon Otieno , wanawake waandamana na kupinga vikali unyama huo na kutaka serikali kuingila kati.