Washington Bureau
Your browser doesn’t support HTML5
Kumbukumbu ya miaka 17 ya tukio la September 11 mjini Marekani ambapo Ndege ziliangusha majengo mjini New York na Hasira zinaongezeka katika bunge la Marekani kutokana na jinsi jeshi la Marekani linavyoshiriki katika vita vya Yemen