Mwezi wa ueleo wa Sicke cell waadhimishwa nchini Tanzania.

Your browser doesn’t support HTML5

Chama cha wagonjwa wa Sickle cell , nchini Tanzania kimeadhimiria kubadili ueleo mdogo wa ugojwa huo. Wanachama hao wanaadhimisha mwezi wa Sickle cell duniani, kwa kutoa elimu juu ya ugojwa huo.