Korea Kusini na Marekani kufanya mazunguzo na Korea Kaskazini kumaliza utengenezaji wa silaha za nyuklia .

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Korea kusini Moon Jae-in anaitaka Marekani na North Kaskasini kufanya maamuzi ya kumaliza kabisa utengenezaji wa silaha za nyukilia katika peninsula ya Korea.