Palestina kutokubaliana na wanachokiita uonevu wa utawala wa Trump

Your browser doesn’t support HTML5

Maafisa wa Palestina wameapa kwamba hawatakubali kwamwe kukubaliana na kile walichokieleza ni mbinu za uoevu za utawala wa Trump baada ya kuarifiwa jaa kwamba ofisi yao mjini Washington itafungwa