Museven awataka mataifa ya nje kutoingilia siasa za Uganda.

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameonya nchi za nje kukoma kuingilia maswala ya ndani ya nchi yake akisema kwa kufanya hivyo ni makaosa ya ukosefu wa maadili.