Hali ya ufulivu imerejea katika mji wa Ben DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Hali ya utulivu imeanza kurejea katika mji wa Ben katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo , ambako ni makao makuu ya jeshi la umoja wa mataifa la MONUSCO baada ya mapigano makali usiku wa kuamkia jumatatu.