Tanzania kutumia vifaaa maalumu kulinda Tembo
Your browser doesn’t support HTML5
Nchini Tanzania kazi ya kuwavisha vifaa maalumu va utambuzi wa Tembo wakubwa limeanza ikiwa ni jitihada ya kupambana na mauwaji ya wanyama hao kwa ajili ya pembe zao.
Your browser doesn’t support HTML5