Duniani Leo September 10, 2018

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Uganda Yoweri Museveni awataka mataifa ya nje kutoingilia siasa za ndani za nchi hiyo. Marekani inatarajia kuchukua msimamo mkali dhidi ya mahakama ya kimataifa ya jinai, ICC na kutishia kuwawekea majaji wa mahakama hiyo vikwazo.