UNESCO umeanzisha mchakato wa kuhifadhi michezo ya kitamaduni

Your browser doesn’t support HTML5

Umoja wa mataifa kupitia shirika la UNESCO, umeanzisha mchakato wa kuhifadhi michezo ya kitamaduni inayoelekea kusahaulika, ili kuenziwa na kizazi kipya kupitia teknolojia mpya kama vile program za simu za kisasa.