Wanamgambo wa Al Shabab wauwa watu sita na kujeruhi wanne.

Your browser doesn’t support HTML5

Maafisa wa usalama wa Somalia wanasema kwamba washambuliaji waliokuwa na bunduki wanaodhaniwa ni wanamgambo wa kundi la Al Shabab nchini Somalia , wameuwa watu sita na kujeruhi wanajeshi wanne.