Waziri wa mambo ya nje wa Marekani afanya ziara nchini Pakistan.

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo amewasili inchini Pakistan kwa zara fumi ya mazungumzo kuhusu vita via Afghanistan na swell la wapiginaji wa kiislam.