Kandarasi za kichina za ujenzi wa reli nchini Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Kauli ya wana mazingira wanaosema kuwa kandarasi za kichina zimeharakisha ujenzi wa kupitisha njia ya reli kwenye hifadhi ya taifa ya Nairobi, eneo ambalo ni makazi ya mamia ya wanyama, bila ya kufanya utafiti wa kutosha kuhusu athari za mazingira.