Nchini DRC, zaidi ya vijana 10 wa Lucha, wamekamatwa na polisi

Your browser doesn’t support HTML5

Nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, zaidi ya vijana 10 wa Lucha, wamekamatwa na polisi kufuatia maaandamano ya kupinga matumizi ya tarakilishi katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa mwezi Desemba.