Ufadhili wa China kuimarisha miundo mbinu Afrika.

Your browser doesn’t support HTML5

Ufadhili wa mabilioni ya dolo kutoka kwa serikali ya China, unalenga kuimarisha ujenzi wa reli, Madaraja, barabara, na bandari katika nchi 70 ili kuimarisha biashara kote duniani.