Aretha Franklin, malkia wa Soul, amezikwa mijini Detroit hii leo

Your browser doesn’t support HTML5

Mwanamziki mashuhuri, aliyependwa na mamilioni ya watu kote duniani Aretha Franklin malkia wa Soul anazikwa hii leo mijini Detroit