Vijana wa Lucha RDC Africa, wameandamana leo asubuhi

Your browser doesn’t support HTML5

vijana wa Lucha RDC Africa, nchini DRC, wameandamana leo asubuhi wakitaka tume ya uchaguzi kutotumia mfumo wa digitali katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa mwishoni mwa mwaka huu.